
NINGECHEZA ZAMA ZA PELE NINGEFUNGA MABAO 3000
MSHAMBULIAJI wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic hajaonesha kukubali uwezo wa mfalme wa Soka kutoka nchini Brazil Pele ambaye anatajwa kuwa ni nyota bora wa muda wote. Licha ya Pele kuzungumzwa kufungwa magoli zaidi ya 1000 katika kipindi cha uchezaji wake, Zlatan haonekani kutishwa na rekodi hizo. “Kama ningecheza enzi za Pele, ningefunga mabao 3000. Hakukuwa…