
KISA KUSHANGILIA LAMPARD AVUNJIKA,ALLAN ALIMWA NYEKUNDU
FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Everton amesema kuwa amevunjika mkono wakati wa kushangilia bao la ushindi timu yake ilipokuwa ikicheza dhidi ya Newcastle. Mchezo huo wa Ligi Kuu England ulichezwa Machi 17 na ubao wa Uwanja wa Goodison Park ulisoma Everton 1-0 Newcastle United. Bao la ushindi lilipachikwa na Alex Iwobi dakika ya 90+9 ikiwa…