
YANGA YAGAWANA POINTI KIMATAIFA
IKIWA Uwanja wa du 26 Mars nchini Mali imeshudia ubao ukisoma Real Bamako 1-1 Yanga. Mchezo wa leo ambao ni wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Yanga ilianza kupata bao la kuongoza dakika ya 60 kupitia kwa nyota wao Fiston Mayele. Mayele alipachika bao hilo akiwa nje kidogo ya 18 na kuwanyanyua mashabiki wa…