
ARSENAL YATEMBEZA 4G
ARSENAL haina utani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ni Gabrie Martinell dakika ya 28,Bukayo Saka alitupia kambani mawili dakika ya 43 na 74 na ile kamba ya nne ni mali ya Graniti Xhaka ilikuwa dakika ya 55. Bao pekee la wapinzani wao…