
CHAMA CHA WATU WENYE UALBINO- TAS WAPATA MSAADA WA VIFAA
Katibu Mkuu Chama cha Watu Wenye Ualbino Mkoa wa Dar Es Salaam Gaston Mcheka ametoa shukrani baada ya kupokea vifaa vya kuwasaidia katika shughuli zao za kila siku. Vifaa hivyo ni Mafuta maalum ya kutunza Ngozi, na kofia za kujikinga na mwanga wa jua ambavyo vyote hivyo vimetolewa kama msaada na Meridianbet Tanzania ikiwa ni…