STAMINA AFICHUA KILICHOMUUA DIRECTOR KHALFANI…

Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii. Amesema kwa taarifa ambazo alikuwa anazijua, ni kwamba Dairekta Khalfan alianguka akiwa kazini na baadaye akapelekwa Hospitali ya Lugalo…

Read More

MRC Kigamboni Yaishukuru Meridianbet

Kituo cha watu ambao wameathirika na madawa ya kulevya, MRC Muungano, Recovery Community leo hii wameishukuru meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea msaada wa chakula na vifaa vya usafi kama vile sabuni.   Baada ya kimya kingi sasa meridianbet wamekuja na kishindo kikubwa cha kurejesha kwenye jamii kama ambavyo huwa wanafanya ambapo leo hii zamu ilikuwa kwa…

Read More

MBWA ATAFUNA DOLA 4000 ZA MMILIKI WAKE

Cecil, mbwa kutoka Pennsylvania, amekuwa maarufu baada ya kutafuna bahasha ya pesa ambayo wamiliki wake walikuwa wametenga kwa ajili ya kumlipa mkandarasi. Mapema Desemba, Clayton Law aliweka bahasha iliyokuwa na $4,000 kwenye kabati lake jikoni kwake huko Pittsburgh, Pennsylvania. Yeye na mke wake, Carrie, walihitaji kumlipa mkandarasi wao pesa taslimu kwa ajili ya kuweka uzio….

Read More

CRIS JABAR MWAMBA ANAYEWAZA KITAIFA NA KIMATAIFA

UKIITAJA Tandale basi utapewa zile habari za mwamba Nassib Abdul ambaye jina lake maarufu anaitwa Diamond kuwa yeye hapo ndio maskani yake na muziki wake ulianzia hapo mpaka leo      katusua kitaifa na kimataifa. Vipaji vingi vipo Nyanda za Juu Kusini pia ambapo ukiigusa mitaa ya Njombe Mjini mitaa ya Mpechi kuna Christopher Muhagama…

Read More

HARMONIZE KUNUNUA MAHITAJI MUHIMU YA HANANG

MWANAMUZIKI Rajabu Abdul maarufu kwa jina la Harmonize amewaagiza wasimamizi wake Chopa na Jembe ni Jembe kutumia fedha ambazo amelipwa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Manispaa ya Kahama, Shinyanga kutumika kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu yatakayopelekwa kwa waathirika wa maporomoko ya matope yaliyotekea Hanang Mkoa wa Manyara. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa…

Read More

BODI YA FILAMU YAKAMILISHA MCHUJO TUZO 2023

BODI ya Filamu Tanzania imekamilisha mchujo wa pili wa filamu ambazo zitakwenda kushindaniwa katika kupata washindi wa Tamasha la tuzo za Filamu kwa mwaka 2023. Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msingwa alisema kuwa Tuzo za Filamu Tanzania zimechochea uanzishwaji wa tuzo nyingine hapa nchini, ikiwemo zile za wadau kupitia vyama ambavyo wamevianzishwa…

Read More

DEREVA WA CHINO AFARIKI

DEREVA aliyekuwa akiendesha gari alilokuwa akisafiria msanii na dansa maarudu, Chino Kid aitwaye Nabeel, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu, kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo. Mmoja wa watu wa karibu wa Chino Kid, Prodyuza Abbah Process kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, ameandika: ‘Rest in Peace Brother, tumepoteza mwanafamilia mmoja aliyekuwa kwenye ajali…

Read More