Bill Gates Amlipa Melinda Dola Bilioni 8 Miaka Mitano Baada ya Talaka
Bilionea na mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates, amemlipa aliyekuwa mke wake Melinda French Gates kiasi cha dola bilioni 8 za Kimarekani, sawa na takribani shilingi trilioni 23.12 za Kitanzania, miaka mitano baada ya ndoa yao kuvunjika rasmi. Kwa mujibu wa taarifa ya Gazeti la The New York Times, fedha hizo takribani dola…