Sakata la Pamba Jiji Kufanya Mazoezi Gizani: Serikali Yatoa Kauli Rasmi
Baada ya taarifa kusambaa mitandaoni ikionesha wachezaji wa Pamba Jiji wakifanya mazoezi gizani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Serikali imesema timu hiyo ilifika uwanjani hapo pasipo kutoa taarifa rasmi ya kufanya mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga SC Septemba 24, 2025. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza kuwa wakati timu hiyo…