Simba, Yanga, Azam na Singida zakata tiketi Afrika – Rais Samia apongezwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka rekodi ya kipekee katika historia ya michezo nchini baada ya kufanikisha timu nne za Tanzania kufuzu hatua ya makundi ya mashindano ya kimataifa barani Afrika. Timu hizo ni Simba SC na Young Africans SC (Yanga) zilizopenya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika…