
YANGA SC NA HAIER FAMILIA, BILIONI 3.3 KUVUNWA
YANGA SC itavuna kiasi cha shilingi bilioni 3.3 kutokana na kuongeza mahusiano na kampuni ya Haier wakisaini mkataba wa miaka mitatu rasmi Agosti 7 2025 katika Hotel ya Hyatt Regency, Dar. Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said amesema kuwa wana matumaini makubwa na mkataba huo kuwa ni faida kwa pande zote mbili kutokana na…