Saleh

Msimu wa Zawadi Bab Kubwa Na Holiday Drops – Christmas

Tunapoukaribisha msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka, Meridianbet inakuletea Holiday Drops – Christmas Edition, kampeni maalum inayokuletea ushindi kwa namna ya kipekee. Kuanzia tarehe 01 Desemba 2025 hadi 08 Januari 2026, wachezaji watakuwa ndani ya kipindi cha zawadi zinazotoka papo hapo katika michezo maalum iliyochaguliwa mahsusi kwa msimu huu. Holiday Drops imeundwa kuongeza thamani…

Read More

Clifford Ndimbo: Kambi ya Taifa Stars Misri Inaenda Vizuri

Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Clifford Mario Ndimbo, amesema maandalizi ya timu ya taifa kuelekea michuano ya AFCON 2025 yanaendelea vizuri katika kambi ya timu iliyowekwa nchini Misri. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Desemba 12, Ndimbo ameeleza kuwa mazingira ya maandalizi ni mazuri na kwamba wachezaji wanaendelea…

Read More

Kalamba Games Wamewasili Meridianbet na Wanabadilisha Kila Kitu

Kama ulikuwa unafikiri sloti ni zile zile ulizozizoea, Meridianbet imeamua kukufungulia ukurasa mpya. Wameleta kitu kipya, Kalamba Games, kundi la wabunifu wanaochukulia mchezo wa sloti kama sanaa, sio bahati tu. Kalamba Games hawajaingia kimya kimya, wameingia kama msanii anayefungua onyesho lake jipya. Kila mchezo wao unaonekana kana kwamba umetengenezwa kwa mkono, ukiwa na rangi zilizopangwa…

Read More

Furahia sikukuu Na Holiday Drops 2025 Kutoka Meridianbet

Jambo kubwa limeletwa kwako mbashiri na meridianbet msimu huu wa sikukuu za kumaliza mwaka. Usikubali kusherehekea sikukuu kinyonge kabisa wakati Meridianbet ipo kwa ajili yako. Meridianbet wameamua kuigeuza michezo kuwa uwanja wa ushindi wa papo kwa papo kupitia Holiday Drops – Christmas Edition. Kuanzia 01.12.2025 hadi 08.01.2026, kila mchezaji anashiriki michezo maalumu ya kasino mtandaoni…

Read More

Yanga SC kwenye mapumziko, kurudi kambini Desemba 15

UONGOZI wa Yanga SC umebainisha kuwa wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pedro Goncalves kwa sasa wapo mapumziko. Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amebainisha kuwa maamuzi hayo yametoka kwenye benchi la ufundi hivyo wachezaji watakuwa kwenye familia zao na wengine watakuwa kwenye majukumu ya timu za taifa….

Read More

Bayern Yaamka na Kupindua Meza, Yapiga Sporting 3-1 UCL

Bayern Munich imeonyesha ubabe katika dimba la Allianz Arena baada ya kutoka nyuma 1-0 na kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kichekesho kilitokea dakika ya 54 baada ya Joshua Kimmich kujifunga na kuwapa Sporting uongozi, lakini Bayern ikarejea mchezoni kwa nguvu na kufunga mabao matatu…

Read More