Singida Black Stars Wapigwa 3–1 na TRA United Katika Mchezo wa NBC Premier League
Singida Black Stars wameendelea kukumbana na wakati mgumu kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kupoteza kwa mabao 3–1 dhidi ya TRA United katika mchezo uliochezewa Uwanja wa KMC jijini Dar es Salaam. Mchezo ulianza kwa kasi huku wageni TRA United wakionyesha kuingia na mpango maalum, jambo lililozaa bao la mapema dakika ya…