AFCON 2025: DR Congo Yaanza Kampeni kwa Ushindi Muhimu Dhidi ya Benin
Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) ‘The Leopards’ imeanza vyema kampeni yake ya AFCON 2025 baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Benin katika mchezo wa Kundi D. Bao pekee la mchezo lilifungwa mapema dakika ya 16 na Theo Bongonda, akitumia vyema nafasi iliyopatikana na kuipa DR…