
MO KUTOA BILIONI 2 UJEZI WA UWANJA MPYA
MOHAMED Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Rais wa Heshima ndani ya Simba ameahidi kuchangia shilingi za Kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Klabu ya Simba. Mo amesema kuwa ameweza kupokea maoni ya watu wengi ambao ni wadau wa mpira pamoja na mashabiki wa Simba ambao wameweka wazi kwamba wapo tayari kuchangia…