
MBEYA CITY YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0
MBEYA City leo imeichapa mabao 2-0 Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Ni mabao ya Hussein Masalanga dakika ya 42 liliweza kuwafanya Dodoma Jiji kuduwaa kwa muda wakiwa hawajaweza kufunga bao la kuweka mzani sawa. Dakika 45 za kipindi cha pili huko mambo yalizidi kuwa magumu kwa Dodoma…