
BUNDESLIGA NA EPL KUENDELEA WIKI HII, JAMVI LAKO LINAUSHINDI?
Baadhi ya ligi kuendelea wiki hii. Bundesliga na EPL ndio kumenoga zaidi. Miamba kadhaa kushuka viwanjani kuchuana ndani ya dakika 90. Mambo yapo hivi; Jumanne hii, Dean Smith ataiongoza Norwich City dhidi ya Aston Villa. Smith anawakaribisha Villa ambao ni vijana wake aliowafundisha kwa muda mrefu kabla ya kutimuliwa Villa Park. Aston Villa hii…