
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
BREAKING: RASMI Kiungo Salum Aboubakhari ametambulishwa Yanga akiwa mchezaji huru. Nyota huyo alikuwa anakipiga ndani ya Azam FC ambapo mkataba wake ulikuwa unatarajiwa kumeguka msimu huu lakini aliomba kuvunja mkataba. Hiyo ilitokana na matatizo ya kinidhamu ambapo ilipelekea akasimamishwa kwa muda usiojulikana na hata walipoambiwa warudi kambini Sure Boy hakuwa tayari kurudi aliomba kuvunjiwa mkataba…
RASMI uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba umemalizana na nyota wa Azam FC, kiungo Salum Aboubhakari ukiwa ni usajili wa kwanza kwenye dirisha dogo ambalo limefunguliwa Desemba 16,2021 na linatarajiwa kufungwa Desemba 16.
SIMBA watakula Christmas wakiwa na pointi zao tatu kibindoni baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC. Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkubwa na mashabiki wengi walijitokeza Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kushuhudia mchezo huo. Simba waliweza kupachika mabao yao kupitia kwa Mohamed Hussein dk 10,Joash Onyango dk 13 na Kibu Dennis alipachika…
UWANJA wa Ali Hassan Mwinyi dakika 45 zimekamilika kwa timu mbili kuonyeshana ubabe wa kusaka pointi tatu muhimu. Ubao kwa sasa unasoma KMC 1-2 Simba hivyo timu zote zinakwenda mapumziko zikiwa zimepata bao na Simba inaongoza. Mohamed Hussein alianza kupachika bao la kuongoza ilikuwa dakika ya 10 kisha dakika ya 12 Onyango Joash alipachika bao…
WAKATI leo kikosi cha Simba kikiwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya KMC ambao ni wenyeji bado wachezaji wa timu hiyo wapo ambao wanaumwa. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, Thiery Hitimana amesema kuwa bado wachezaji hawajawa fiti kwa asilimia 100 kutokana na homa ambayo walikuwa nayo. Ikumbukwe kwamba Desemba 18 Simba…
HIKI hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kinachotarajiwa kuanza dhidi ya KMC, mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora:- Aishi Manula Kapombe Shomari Hussein Mohamed Onyango Joash Henock Inonga Mkude Jonas Sakho Mzamiru Kagere Meddie Kibu Dennis Bwalya Akiba Beno Gadiel Wawa Abdulsamad Dilunga Ajibu Mugalu…
LEO Desemba 24, KMC inawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Hiki hapa kikosi cha KMC 1. Faroukh Shikalo 2.Kelvin Kijili 3.Nickson Kibabage 4.Andrew Chikupe 5.Abdulazack Mohamed 6.Ismail Gambo 7.Ken Mwambungu 8.Iddi Kipagwile 9.Matheo Anthon 10.Emmanuel Mvuyekule 11.Abdul Hassan Akiba Juma Kaseja Ally Ramadhan Hassan…
KLABU ya Geita kwa sasa haitaki utani baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji wakongwe na wenye uzoefu kwenye fani. Miongoni mwa wachezaji ambao watakuwa na uzi wa timu hiyo ni pamoja na nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye tayari ameingia kwenye klabu…
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa suala la afya kwa wachezaji ni muhimu mbali na kuwa na kikosi kipana. Wachezaji wa Simba walikwama kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar uliotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kaitaba, Desemba 18 hivyo utapangiwa tarehe. Leo Desemba 24 kikos cha Simba kitakuwa na kazi ya…
BAADA ya mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kuahirishwa kutokana na asilimia kubwa ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua na homa leo wanatarajiwa kuwa kazini. Desemba 24, Simba inatarajiwa kukaribishwa na Wanakino Boys, Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, Tabora. Itakuwa ni KMC v Simba leo. Pia Coastal Union iliyotoka kushinda bao 1-0 dhidi ya…
JUMLA ya wachezaji nyota watatu wanatarajiwa kuondoka katika kikosi cha Azam FC kwenda katika timu ya taifa ya Zimbabwe kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON). Wachezaji hao ni beki wa kushoto, Bruce Kangwa, kiungo Never Tigere na mshambuliaji Prince Dube.Nyota hao huenda wakakosekana katika michezo baadhi ya Ligi Kuu Bara na Kombe la…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
RASMI Azam FC imekubali kumuachia kiungo wake, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na sasa yupo huru kujiunga na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kiungo huyo awasilishe ombi la kuvunja mkataba huo mara baada ya kusimamishwa na viongozi wa Azam. Sure Boy alisimamishwa pamoja na wachezaji wenzake wawili, Mudathiri…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, ishu nzima ya usajili wa majembe mapya kwenye kikosi cha timu hiyoakiwemo kiungo Mzambia, Clatous Chama kwa sasa inashughulikiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez.Chama aliuzwa na Simba miezi minne iliyopita na kujiunga na RS Berkane ya Morocco akisaini mkataba wamiaka mitatu unaotarajiwa kukamilika 2024. Akizungumza na Spoti Xtra,…
KARIBU utazame Dakika 90 za mtanange wa ligi kuu ya wanawake kati ya Simba Queens vs Ruvuma Queens, unaochezwa katika uwanja wa Mo Simba Arena. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx