>

Saleh

YANGA YAANZA KWA MAJANGA TENA

KLABU ya Yanga imepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kuwakilishwa na maofisa wanne badala ya watano katika kikao cha maandalizi ya mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mkapa. Mkutano huo kwa mujibu wa taarifa imeeleza kuwa ulifanyika Novemba 2, Uwanja wa Mkapa. Adhabu hiyo imetolewa kwa kwa uzingativu wa kanuni ya 17,(2) na…

Read More

BEKI SIMBA YAMKUTA HUKO

BEKI wa Simba, Henoc Baka amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaji wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kutokana na kitendo hicho beki huyo alionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na kumfanya akose mchezo wa Simba uliofuata dhidi ya Namungo FC. Mbali na adhabu ya…

Read More

MANCHESTER UNITED WAMECHANA MKEKA

KLABU ya Manchester United imekubali kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Bao la kujifunga la nyota wao Eric Bailly dakika ya 7 liliwapotezea umakini United ambao waliruhusu kufungwa bao la pili ilikuwa dakika ya 45 kupitia kwa nyota Bernardo Silva na…

Read More

PRESHA YA SIMBA IPO KWENYE TIMU HII HAPA

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amefunguka kuwa kasi waliyoanza nayo wapinzani wao, Yanga na mabao wanayofunga, imekuwa ikiwaongezea presha kubwa ya kuhakikisha wanapata matokeo katika mechi zao.Simba imepoteza pointi nne katika mechi tano ilizocheza, ikiwa imeshinda tatu na sare mbili.   Ilianza kwa suluhu dhidi ya Biashara United kabla ya kuifunga Dodoma Jiji bao 1-0, kisha ikaifunga Polisi Tanzania bao 1-0, halafu ikasuluhu na Coastal Union kabla ya kuichapa Namungo…

Read More

KUMBE YANGA BADO INAJITAFUTA

BAADA ya Yanga kujikusanyia pointi 15 katika michezo mitano ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi amewataka mashabiki wao wasiwe na hofu kwani huu ni mwanzo tu, mazuri zaidi yanakuja.   Yanga imekuwa kwenye kiwango bora msimu huu ambapo imefanikiwa kuweka rekodi ya kushinda mechi tano za mwanzo kwenye Ligi Kuu Bara kitu ambacho timu zingine zimeshindwa kufanya. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alifichua kwamba, alitumia muda mrefu kuitengeza…

Read More

POULSEN AKUBALI UWEZO WA WACHEZAJI WAKE

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa uwezo wa wachezaji ambao wapo kwenye kikosi hicho ni mkubwa na anaamini kwamba watampa matokeo chanya kwenye mechi za kimataifa. Akizungumza na Championi Jumamosi, Poulsen alisema kuwa kila mchezaji ambaye ameuita kikosini alipata muda wa kumfuatilia na kuona uwezo wake na…

Read More

SALAH NI BORA DUNIANI

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool, Fernando Torres amesema kuwa nyota Mohamed Salah ambaye ni mshambuliaj ndiye mchezaji bora kwa sasa duniani.   Salah anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ya dunia ambayo itatolewa mwezi ujao na Shirikisho la Soka la Kimataifa,(Fifa) na watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa anastahili kutwaa tuzo hiyo. Torres aliweza kuutazama…

Read More

ISHU YA CHAMA KURUDI BONGO,YANGA,SIMBA ZATAJWA

KIUNGO bora wa zamani wa Simba, Clatous Chama anatajwa kurudi tena Bongo huku timu mbili za Kariakoo, Simba na Yanga zikitajwa kuwania saini yake. Chama msimu wa 2020/21 alikuwa kwenye kikosi bora cha msimu na pia alitwaa tuzo ya kiungo bora ikumbukwe pia kwa msimu wa 2019/20 alitwaa tuzo ya kiungo bora pamoja na mchezaji…

Read More

GUARDIOLA AKUBALI MUZIKI WA UNITED

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekubali muziki wa wapinzani wake Manchester United kwa kuweka wazi kuwa ina wachezaji wazuri. Majira ya saa 9:30 muda wa kujipatia msosi Manchester United itakuwa ikimenyana na Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa Uwanja wa Old Trafford. Unatajwa kuwa moja ya mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa…

Read More

BAO LA MK 14 LAMFANYA KOCHA AZUNGUMZE KIZUNGU

BAO la mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere lililowapoteza Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara lilimfanya Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hemed Morocco kuzungumza kizungu kuonesha msisitizo kwamba waliumia kupoteza mchezo huo. Mara baada ya mchezo kukamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Namungo, wachezaji wote wa Namungo juzi walianguka chini…

Read More

XAVI KOCHA MPYA BARCELONA

XAVI Hernandez atakuja kuwa kocha mpya wa Barcelona baada ya mabosi wake Al Sadd kuthibitisha kuhusu hilo. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Al Sadd imeeleza kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Xavi kuhusu suala la malipo pamoja na kumuacha aende kwa amani kuanza changamoto mpya. Xavi alikuwa anahusishwa kurejea kwa mara nyingine ndani ya Nou Camp…

Read More

YANGA WAMPA TANO NABI

NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amefunguka kuwa kwa sasa nyota wa kikosi hicho wanafurahia zaidi mfumo wa soka la pasi nyingi, ambao unafundishwa na kocha mkuu Nasrredine Nabi, kulinganisha na utamaduni wao wa awali wa kutumia mipira mirefu.   Tangu msimu huu umeanza kocha Nabi anaonekana kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuibadilisha Yanga ambayo sasa inacheza mpira wa pasi nyingi, tofauti na hapo awali ambapo walikuwa wakitumia mipira mirefu.  …

Read More

KOCHA MPYA SIMBA ISHU YAKE IMEFIKIA HAPA

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kwa takribani wiki mbili, Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, imepanga kutumia muda huo kushusha kocha mpya wa kuinoa timu hiyo ambayo pia inajiandaa na mchezo wa Kombe laShirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows ya Zambia.   Novemba 28, mwaka huu, Simba itavaana na Red Arrows kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa mchezo wa kwanza wa mtoano kusaka nafasi ya kwenda makundi ya michuanohiyo, kabla…

Read More