
KIUNGO MGHANA ACHAGUA KUCHEZA NA FEISAL NA SURE
KIUNGO wa kimataifa wa zamani wa Simba raia wa Ghana, James Kotei, ameweka wazi kuwa kama ataambiwa achague viungo wa kucheza nao kutoka Yanga, basi atawataja Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ na sio pacha ya Khalid Aucho na Yannick Bangala. Sure Boy aliyejiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili msimu…