Saleh

Taarifa Zote za Michezo Njoo Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ya kimichezo, kasino, usajili, matokeo, na kupata fursa za kubashiri mechi mbalimbali. Kupitia Kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet…

Read More

Meridianbet Yachochea Mapinduzi ya Usafi Kinondoni kwa Msaada wa Mapipa ya Taka

Katika hatua ya kuunga mkono juhudi za kulinda mazingira na afya za wananchi, Meridianbet imetoa mapipa ya taka katika maeneo ya umma kwa Kata mbalimbali za wilaya ya Kinondoni. Msaada huu unalenga kuimarisha usimamizi wa taka, kupunguza uchafuzi wa mazingira, na kuhamasisha utamaduni wa usafi katika maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu kila siku. Akizungumza…

Read More

Arsenal Waanza Kuyumba, Wapoteza Pointi, Wolves Wawazuia Kwa Sare ya 2-2 Molineux

Arsenal wameendelea kupoteza mwelekeo katika mbio za ubingwa baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye dimba la Molineux Stadium. Arsenal walionekana kuwa na udhibiti wa mchezo mapema, lakini makosa ya safu ya ulinzi yaliwapa Wolves nafasi ya kusawazisha na hata kutishia ushindi dakika za lala salama. ⚽ Wafungaji: 05’ Bukayo…

Read More

Gachi Amshutumu Yammi Kwa Kuvunja Mahusiano Yake

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gachi (Fatma Omary) ameibuka na madai mazito akimtuhumu rafiki yake wa karibu, Yammi, kwa kuhusika katika kuvunjika kwa mahusiano yake. Akizungumza kwa hisia, Gachi amesema alimtambua Yammi kwa mpenzi wake kwa nia njema, lakini baadaye mambo yakabadilika na kusababisha kuvunjika kwa uhusiano wake. “Nilimtambulisha Yammi kwa mpenzi wangu lakini ndiye aliyechangia…

Read More

Tyson na Mayweather Kupigana DR Congo, Pambano la Maonyesho Kuvuta Hisia za Dunia

Magwiji wa ndondi, Mike Tyson na Floyd Mayweather Jr., wanatarajiwa kukutana katika pambano la maonyesho litakalofanyika Aprili 4, 2026 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Pambano hilo linatajwa kuwa la kihistoria, likirejesha kumbukumbu za mapambano makubwa yaliyowahi kufanyika barani Afrika, hususan tukio maarufu la Rumble in the Jungle lililowakutanisha Muhammad Ali na George Foreman…

Read More