
MNIGERIA WA SIMBA ATAJWA YANGA
KIUNGO Victor Akpan mali ya Coastal Union anatajwa kuwavuruga vigogo ambao wanawania saini yake kwa sasa. Ni Simba walianza kuiwania saini ya kiungo huyo ambaye jana mbele ya Yanga aliweza kutimiza majukumu yake kwa umakini licha ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0. Habari zinaeleza kuwa Simba wana nafasi kubwa ya kumnasa kiungo huyo…