
KAZI YA JOB MBELE YA COASTAL UNION ILIKUWA PEVU
DICKSON Job beki wa Yanga ni mtu wa kazi ambapo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union wakati Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa aliweza kuwa kwenye ubora. Jumla alipiga pasi 80 na katika pasi hizo alizotoa ni moja pekee iliweza kupotea kwa kutofika mahali ambapo alikuwa anahitaji ifike. Katika pasi hizo mguu ambao anapenda kuutumia…