
MSHAMBULIAJI MPYA YANGA AWATISHA SIMBA, ASEMA MAKOMBE MWANZO MWISHO
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarus Kambole, amefunguka kuwa moja ya malengo yake ni kuhakikisha anaipa Yanga makombe mengi pamoja na kufikia malengo ya michuano ya kimataifa msimu ujao. Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambayo ameachana nayo baada ya mkataba wake kumalizika. Mshambuliaji huyo ana…