
KOCHA YANGA AWAPA TAHADHARI WACHEZAJI WAKE
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa jambo la msingi kwenye kila mchezo ni wachezaji wao kutambua kwamba lazima wawaheshimu wapinzani ili kupata matokeo chanya. Yanga ikiwa imecheza mechi mbili imeshinda zote ilikuwa Polisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga mechi zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Kete ijayo ni…