Saleh

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

MEI 11,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili. Polisi Tanzania itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji, mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika. Coastal Union itakuwa na kazi ya kumenyana na Biashara United mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani. Simba itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi…

Read More

MORRISON,MKUDE,KUIKOSA KAGERA SUGAR

VIUNGO wa Simba wanne leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Mkapa mbele ya Kagera Sugar. Mchezo wa leo ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza Kagera Sugar kuwatungua bao 1-0 Simba, Uwanja wa Kaitaba. Pablo Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna wachezaji ambao wakosekana…

Read More

NENO LA KIBWANA BAADA YA KUONGEZA MKATABA YANGA

KIBWANA Shomari, beki wa Yanga amesema kuwa anafurahia kuwa ndani ya kikosi cha Yanga na ana imani ya kuendelea kufanya vizuri baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili. Mkataba wa beki huyo chaguo la kwanza la Kocha Nasreddine Nabi ulikuwa unakaribia kufika ukingoni mwa msimu huu hivyo bado yupo sana ndani ya kikosi cha Yanga….

Read More

AZAM FC YAPOTEZA MBELE YA MBEYA CITY

AZAM FC imepoteza kwa kufungwa mabao 2-1 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine. Nyota wa Mbeya City Juma Shemvuni dakika ya 51 kwenye mchezo huo alipachika bao la kuongoza. Kwa Azam FC bao pekee la kufutia machozi lilifungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 88 kwenye mchezo huo ikiwa ni…

Read More

YANGA:MAYELE NI FUNDI WA KUPIGA PENALTI NYIE

HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa mshambulaji wa kikosi hicho Fiston Mayele ni fundi wa kupiga penalti kuliko watu wanavyofikiria. Kwenye mchezo dhidi ya Prisons Mayele alikosa penalti ya kwanza ndani ya ligi na kuwafanya wakose mazima pointi tatu na kugawana mojamoja Uwanja wa Mkapa. Manara amesema kuwa kilichotokea kwa Mayele ni jambo ambalo…

Read More

HAALAND, MAN CITY BADO KIDOGO TU

MTENDAJI Mkuu wa Borussia Dortmund, Sebastian Kehl, amefunguka kuwa dili na hatma ya Erling Haaland itajulikana wiki ijayo. Haaland amekuwa akihusishwa kujiunga na timu tofauti za Ulaya, ingawa Manchester City ikionekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili. Staa huyo amekuwa kwenye kiwango bora tangu atue Dortmund, Januari 2020 akitokea RB Salzburg ya Austria.  Mwezi uliopita…

Read More

BECKHAM AMZUIA RONALDO KUONDOKA UNITED

STAA mkongwe wa soka, David Beckham amesema anatamani kuona staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo anasalia kikosini hapo kwani ni mchezaji muhimu. Hii ni baada ya kuwepo tetesi kuwa huenda Ronaldo akatimka kikosini hapo, baada ya Man United kushindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba wa mwaka mmoja…

Read More

STRAIKA WA MABAO AKUBALI KUSAINI YANGA

BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa kuhusishwa kusaini mkataba Yanga, mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole ametoa sharti moja kubwa kwa timu hiyo. Mpole ni kati ya wachezaji wanaohusishwa kutua Yanga kuelekea msimu ujao ambapo timu hiyo ina uhakika wa kushiriki michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mshambuliaji huyo hivi sasa yupo…

Read More

KAGERA SUGAR YATUMA UJUMBE HUU SIMBA

BUBERWA Birikes, Kocha Msaidizi wa Kagera Sugar amesema kuwa watafanya kazi kubwa kupata ushindi mbele ya Simba kesho kwenye mchezo wa ligi. Kesho Mei 11, Kagera Sugar ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Akizungumza na Saleh Jembe,Birikes amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Simba…

Read More

SPORTPESA YAKABIDHI MILIONI 50

HATIMAYE Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas, amemkabidhi Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, hundi ya Shilingi milioni 50 kama bonansi baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Makabidhiano hayo yamefanyika Makao Makuu…

Read More

YANGA:BADO TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za ligi. Manara amesema kuwa kushindwa kupata matokeo kwenye mechi zilizopita haina maana kwamba hawatakuwa imara Yanga ni vinara wa ligi wanawania kutwaa Kombe la Ligi la 28 kwa kuwa wanayo 27 mpaka muda huu. Jana walilazimisha sare…

Read More

BOCCO WA SIMBA AFUNGA BAADA YA SIKU 294

MSHAMBULIAJI bora wa msimu wa 2020/21,John Bocco amefunga bao la kwanza kwenye ligi baada ya kuyeyusha jumla ya siku 294 bila kufunga. Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho kwa Bocco kufunga ilikuwa Julai 18,2021 alipofunga bao lake la 16 mbele ya Namungo FC Uwanja wa Mkapa na kuibuka kuwa mfungaji bora. Msimu wa 2021/22 ilikuwa ngumu…

Read More