Saleh

YANGA YAIFANYIA SIMBA UMAFIA WA KAMBI

UMAFIA! Ndivyo utakavyoweza kusema, ni baada ya uongozi wa Yanga kubadili kambi mkoani Mwanza ambako watani wao, Simba watapiga hapo kujiandaa na Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama Kombe la FA. Simba na Yanga zinatarajiwa kuvaana Jumamosi hii katika mchezo huo ambao unatarajiwa kupigwa saa kumi kamili jioni kwenye…

Read More

MKALI WA MABAO MLANGONI SIMBA SC *AMEWAHI KUWEKA REKODI YA UFUNGAJI MABAO UGANDA

IMEFAHAMIKA kuwa Simba ipo katika mipango ya kumsajili mshambuliaji wa Vipers SC ya Uganda, Yunus Sentamu, ambaye raia wa Uganda. Simba imepanga kukifanyia uboreshaji kikosi chake katika baadhi ya nafasi kati ya hizo ni safu ya ushambuliaji ambayo imeonekana kutokuwa na ubora mzuri. Wakimpata straika huyu inaelezwa kuwa tatizo hilo litakuwa limekwisha rasmi. Sentamu msimu…

Read More

PRINCE DUBE KUIKOSA RUVU SHOOTING

 MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo kati ya Ruvu Shooting v Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mabatini,Pwani. Dube ambaye msimu uliopita wa 2020/21 alikuwa kwenye ubora mkubwa aliweza kutupia mabao 14 msimu huu ameweza kutupia bao moja na pasi moja ya bao. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Azam…

Read More

AZAM FC WANASUBIRI TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI

 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna tatizo ikiwa watapewa taarifa kwamba mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting utapangiwa tarehe nyingine kutokana na taarifa kueeleza kuwa Ruvu Shooting wameomba iwe hivyo. Ruvu Shooting kupitia kwa Ofisa Habari wao, Masau Bwire ameweka wazi kuwa wameiandikia Bodi ya Ligi Kuu Tanzania,(TPLB) barua ya kuomba kupewa muda…

Read More

KOCHA ARSENAL ANA MAUMIVU KWELI

MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa bado wana maumivu ndani yake kwa kuwa walifanya makosa mbele ya Newcastel United ndiyo maana licha ya ushindi mbele ya Everton haukuweza kuwasaidia. Arsenal imemaliza nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu England kama wangeweza kuchanga karata yao vema wangemaliza nafasi ya nne na kupata fursa…

Read More

CHAGUA NAMBA, RUSHA KETE NA UJIPATIE MSHIKO WA KUTOSHA KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Sloti Ya Titan Dice Anza wiki yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wiki yako itakuwa bomba kwa kuchangamkia bonasi na ushindi mkubwa kupitia Meridianbet. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu. Kihistoria, mchezo huu ulianzia China. Waandaaji wa kisasa, Expanse Studios wametengeneza Titan…

Read More

FT:BIASHARA UNITED 1-1 YANGA

DAKIKA 90 Uwanja wa CCM Kirumba zimekamilika kwenye moja ya mchezo mzuri wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Yanga na wote kuweza kutoshana nguvu. Ubao umesoma Biashara United 1-1 Yanga ambapo walianza kufunga Yanga kisha Biashara United wao wakaweka usawa. Ilikuwa ni bao la dk ya 74 Fiston Mayele ambaye amefikisha jumla…

Read More

HT:BIASHARA UNITED 0-0 YANGA

 DAKIKA 45 za mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Yanga zimemeguka Uwanja wa CCM Kirumba leo Mei 23. Ubao unasoma Biashata United 0-0 Yanga ambapo kila timu inacheza kwa kushambulia na mpira wa pasi nyingi. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wamepiga jumla ya kona mbili ambazo hazijaleta matunda…

Read More

RUVU SHOOTING YAOMBA KUPEWA MUDA WA MAPUMZIKO

MASAU Bwire,Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wameomba kupewa muda wa mapumziko kwa Bodi ya Ligi Tanzania,(TBLP) kwa mchezo wao dhidi ya Azam FC ili waweze kufanya maandalizi kwa kuwa wapo safarini.  Bwire amesema kuwa baada ya kukamilisha mchezo wao juzi kwa sare ya bila ufungana na Kagera Sugar hawakupata muda wa kupumzika zaidi…

Read More

IKAWE NI NUSU FAINALI YENYE KHERI

TUNAAMINI kwamba kwa muda ambao umeaki kuelekea mechi za hatua ya nusu fainali kila timu inafanya maandalizi mazuri ili kuweza kupata matokeo kwenye mechi ambazo watacheza. Ni Yanga wao watacheza na Simba na Coastal Union hawa watamenyana na Azam FC katika hatua ya nusu fainali ambayo inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kwa mechi hizi za…

Read More

YANGA KUIKABILI BIASHARA UNITED KWA HESABU

 NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wataingia kwa tahadhari leo Uwanja wa CCM Kirumba kusaka ushindi mbele ya Biashara United. Mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni ambapo timu zote zipo kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Yanga kwenye msimamo inaongoza ligi ikiwa na pointi zake 63 baada ya kucheza mechi 25…

Read More

PABLO MAMBO MAGUMU NDANI YA SIMBA

MAMBO magumu kwa Pablo Franco ndani ya kikosi cha Simba baada ya jana kulazimisha sare ya pili mfululizo kwenye ligi mbele ya Geita Gold baada ya mchezo uliopita kufungana bao 1-1 dhidi ya Azam FC. Mastaa wake wakiwa Uwanja wa CCM Kirumba walikubali sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa ligi ambao ulikuwa wazi…

Read More