
MDAKA MISHALE KUKOSEKANA KESHO WA MKAPA
DJIGUI Diarra kipa namba moja wa Yanga ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Singida Big Stars kwa kuwa yupo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Mali. Mdaka mishale huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi hivyo kwa sasa amebakiwa na nyota wawili ambao ni Aboutwalib Mshery na Erick Johora. Pia Aziz…