
KELELE ZA MASHABIKI ISIWE SABABU WAAMUZI KUBORONGA
KELELE za mashabiki uwanjani zina raha yake lakini hazipaswi kuwa kigezo cha kuwapa presha waamuzi kufanya maamuzi ambayo ni maumivu kwa wengine. Kumekuwa na mwendo ambao haufurahishi kwa waamuzi kufanya maamuzi ambayo wanayajua wao wenyewe huku wakipewa shinikizo na mashabiki. Hakuna suala hilo kwenye kazi hasa ambayo inasimamia taaluma ndani ya dakika 90 kikubwa ni…