VIDEO:MPANGO WA YANGA MBELE YA COASTAL UNION KWENYE FAINALI
HASSAN Bumbuli,Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba wanatambua mchezo wao dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu lakini wanahitaji kupata ushindi
HASSAN Bumbuli,Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba wanatambua mchezo wao dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu lakini wanahitaji kupata ushindi
MBELE ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali leo Julai 2,2022 kiungo Zawad Mauya ataanzia benchi pamoja na Mshery,Yassin,Bacca,Moloko,Kaseke,Nkane,Makambo na Ambundo. Kikosi cha kwanza ni Diarra Djigui Djuma Shaban Farid Mussa Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Kahlid Aucho Sure Boy Feisal Salum, Chico Ushindi Fiston Mayele
BERNARD Morrions kiungo wa Yanga anatajwa kuvuruga mipango ya Yanga kuweza kutua ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23
WAKATI wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union, Yanga itakosa huduma ya mshambuliaji wao mmoja. Ni Yacouba Songne ambaye amekuwa nje kwa muda mrefu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Yanga,Cedrick…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa wanatambua kwamba leo wana mchezo mgumu wa fainali dhidi ya Yanga lakini wachezaji wake wanajua nini ambacho wanahitaji. Coastal Union ilitinga hatua hii kwa ushindi mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Coastal Union ilishinda kwa…
AZAM FC imezidi kujiimaraisha na imetambulisha nyota mwingine ambaye ni kiungo Issa Ndala
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika na nahodha wa kikosi chao, George Mpole ambaye anatajwa kupokea ofa kutoka klabu za Simba na Yanga. Mpole amekuwa miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya kikosi cha Geita Gold…
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kubakia katika klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya mersesyde. Salah amesaini mkataba huo unaotarajiwa kumalizika majira ya kiangazi mwaka 2025 huku akipokea kitita cha Paundi 350,000 ambayo ni sawa na zaidi ya Milioni…
YANGA yamfanyia kufuru Aziz KI ndani ya Championi Jumamosi
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika na nahodha wa kikosi chao, George Mpole ambaye anatajwa kupokea ofa kutoka klabu za Simba na Yanga. Mpole amekuwa miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya kikosi cha Geita Gold…
GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchezaji, Benard Morrison, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayomuhusu ikiwemo sababu za kuondoka Simba na klabu anayoelekea. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mchezo wa kesho wa hatua ya fainali dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu lakini wapo tayari. Yanga inakwenda kumenyana na Coastal Union ikiwa imetwaa taji la Ligi Kuu Bara na pointi zake 74. Imeweza kutwaa taji hilo ikiwa haijapoteza na kesho inakwenda kupambana kusaka taji lingine la…
MASTAA wa Simba leo Julai Mosi wamerejea Dar wakitokea Songea ambapo walikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa kufunga msimu wa 2021/22 na walicheza dhidi ya Mbeya Kwanza Uwanja wa Majimaji,Songea na kutoshana nguvu ya bila kufungana. Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 61 baada ya kucheza mechi 30 za…
AZAM FC leo Julai Mosi wameufungua mwezi kwa kumtamulisha nyota mpya kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Ni kiungo mkabaji kutoka Nigeria, Isah Ndala ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili. Ndala alikuwa akichezea Plateau ya Nigeria, amesaini mkataba mbele ya mmiliki wa timu, Yusuf Bakhresa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim…
KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama Dar kikitokea Songea ambapo kilikuwa na mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza. Sima chini ya Kocha Msaidizi Selaman Matola ilitoshana nguvu bila kufungana na Mbeya Kwanza katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji,Songea. Matola amesema kuwa kukamilika kwa msimu huu wa 2021/22 ni mwanzo wa…
RASMI mabosi wa Singida Big Stars wameweza kumtambulisha nyota mpya katika kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao. Anaitwa Aziz Andambwile ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa pia na Klabu ya Namungo inayotumia Uwanja wa Ilulu. Ni kiungo mwenye uwezo wa kucheza nafasi tofauti tofauti uwanjani. Mchezaji kijana, mzawa, msomi, mpambanaji wa kweli akiwa na timu yake…
AZAM FC yaanza kushusha majembe kwa ajili ya msimu mpya ambapo watakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa