
AZAM FC KUIKABILI COASTAL UNION
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Coastal Union. Azam FC imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Namungo FC na imekuwa kwenye kasi bora ndani ya ligi kwa mechi za hivi karibuni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00…