
YANGA KAZI INAENDELEA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa mzunguko wa pili utatoa dira ya wao kufanikisha malengo ya kutetea taji hilo. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora wa kupata matokeo licha ya kupoteza mchezo mmoja kati ya 17 ilipotunguliwa na Ihefu mabao 2-1. Kwa sasa ipo kwenye maandalizi kuelekea kwenye mchezo wao dhidi…