
YANGA YAIVUTIA KASI IHEFU
BAADA ya kuenguliwa kwenye Kombe la Mapinduzi kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufugana dhidi ya Singida Big Stars kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuikabili Ihefu. Mchezo huo ni wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumatatu ya wiki ijayo. Ihefu ambayo mchezo wa mzunguko wa kwanza iliwatungua Yanga mabao 2-1 itakabiliana…