
MASTAA AZAM FC WAPEWA ONYO
KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa amewaambia wachezaji wote wa timu hiyo ni lazima wajitafakari kutokana na matokeo wanayopata na kuonyesha kwa vitendo. Timu hiyo mchezo wake uliopita ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Highland ukisoma Ihefu 1-0 Azam FC jambo lililowafanya waache pointi tatu mazima ugenini. Imetolewa kwenye mwendo wa kuwania ubingwa…