
CHAMPIONSHIP NI YETU SOTE INATUHUSU
USHINDANI uliopo ndani ya Championship ikiwa ni mzunguko wa 25 unazidi kuleta raha ya kuifuatilia na kuona namna gani kila mmoja anavuna kile alichopanda. Kila timu inapambana kwa nafasi yake kutafuta ushindi kwa kuwa hakuna timu inayopenda kubaki pale ambapo ipo kwa muda mrefu ukizingatia kwamba kupanda daraja ni mafanikio. Uendeshaji wake ulivyo na namna…