
YANGA YASOGEZEWA UBINGWA
LICHA ya kikosi cha Yanga kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini bado timu hiyo imepewa nafasi ya kulibebe taji hilo msimu huu. Yanga imeshafuzu hatua ya robo fainali baada ya kuongoza Kundi D kwa kukusanya pointi 13, huku jana Jumatano droo ya hatua ya robo…