
YANGA V US MONASTIR LEO WAKUBWA KAZINI
LEO ndiyo leo asemaye kesho huyo ni muongo hatimaye ile siku imewadia na kazikazi kwa wakubwa inatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa. Ni wenyeji Yanga chini ya kocha Nasreddine Nabi raia wa Tunisia kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya US Monastir vinara wa kundi D wakiwa na pointi 10 wote wamecheza mechi nne. Hapa tunakuletea…