
AZIZ KI HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE KWA MKAPA
KIUNGO Aziz KI mali ya Yanga huenda asianze kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa kesho kutokana na kutokuwa fiti. Yanga kesho ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa…