
WINGA KUTOKA JANGWANI MIKONONI MWA DODOMA JIJI
BAADA ya kupewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Yanga winga Dickson Ambundo kuna uwezekano mkubwa akarejea katika kikosi cha Dodoma Jiji. Ambundo anaingia kwenye rekodi ya kuwa mzawa aliyeingia kwenye orodha ya wachezaji waliofika katika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kugotea nafasi ya pili. Pia akiwa Yanga ni miongoni…