
SIMBA WAJA NA GIA NYINGINE
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini timu hiyo itakuwa kwenye mwendo mzuri msimu ujao ikiwa itapata wachezaji wenye ubora kila idara. Kocha huyo alikiongoza kikosi cha Simba kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa. Henock Inonga na Kibu Dennis hawa ni nyota waliofunga mabao kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja…