


WANNE PANGA LIMEWAKUTA YANGA
MASTAA wanne wameachwa mazima ndani ya kikosi cha Yanga kuelekea kwenye mpango kazi wa kuunda kikosi kipya kwa msimu wa 2023/24. Juni 23 beki Abdallah Shaibu, ‘Ninja’ anafikisha idadi ya nyota wanne ambao hawatakuwa kwenye kikosi hicho kilichotwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23. Taarifa rasmi kutoka Yanga imeeleza kuwa: “Tunamshukuru Abdallah Shaibu (Ninja) kwa…

UWE MKUTANO UTAKAOLETA MATOKEO MAZURI
NGOJANGOJA huumiza tumbo imekuwa hivyo na itabaki kuwa hivyo kwa kile ambacho kinapatikana ni lazima kugawana kwa haki bila upendeleo. Mawazo mazuri ambayo yanakusanywa ni muhimu kufanyiwa kazi hasa ukizingatia kila kitu ambacho kinafanyika kinaanzia kwenye mpango kazi wa fikra. Ipo hivi Wanachama wa Yanga wanatarajia kufanya mkutano mkuu ambao huo upo kwa mujibu wa…

ORODHA YA MASTAA THANK YOU YAONGEZEKA
GADIEL Michael beki wa kushoto wa kikosi cha Simba msimu wa 2022/23 mkataba wake umegota mwisho na mabosi wa timu hiyo wamempa mkono wa asante. Beki huyo mzawa aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Yanga 2019/20 ambapo amedumu kwenye kikosi hicho kwa misimu mitatu. Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23…

MAJEMBE YANGA YAMEANZA KUPISHANA AIRPORT
MAJEMBE Yanga SC yaanza kupishana Airport, Mkude atoa tamko zito Simba, amtaja Mo ndani ya Championi Jumamosi

YANGA YAMKOMALIA MTAMBO WA MABAO
WAKATI akiwa anatajwa kutaka kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga mabosi wamemkomalia nyota wao mwenye mabao 24 katika mashindano ya Kombe la Shirikisho na Ligi Kuu Bara. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 17 kwenye ligi akiwa na mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na kote kasepa na kiatu cha mfungaji bora nyota huyo wa…

VIDEO:TAMBO ZA BONDIA SELEMAN KIDONDA NOMA
TAMBO za bondia Seleman Kidonda noma kuhusu uwezo wake na namna ambavyo wanamuita bondia huyo mzawa

VIDEO:SIRI YA ONYANGO, MKUDE, NYONI IPO HIVI
SIRI ya Joash Onyango, Jonas Mkude, Erasto Nyoni kuachwa imetajwa huku Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga naye akizungumziwa

KIRAKA WA KAZI KUTOKA MSIMBAZI MALI YA NAMUNGO FC
NAMUNGO FC imemtambulisha rasmi nyota wa zamani wa Simba, Erasto Nyoni kuwa mali yao kwa msimu wa 2023/24. Nyoni ni kiraka anayefiti kila eneo ambalo atapangwa kucheza na benchi la ufundi iwe kwenye eneo la ukabaji, ulinzi na ushambuliaji uwezo wake unahamia Namungo. Uwezo mkubwa ni kutumia mguu ule wa kulia ambao umekuwa ukifanya kazi…

WINGA KUTOKA JANGWANI MIKONONI MWA DODOMA JIJI
BAADA ya kupewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Yanga winga Dickson Ambundo kuna uwezekano mkubwa akarejea katika kikosi cha Dodoma Jiji. Ambundo anaingia kwenye rekodi ya kuwa mzawa aliyeingia kwenye orodha ya wachezaji waliofika katika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kugotea nafasi ya pili. Pia akiwa Yanga ni miongoni…

USAJILI SIMBA WAVUJA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema jumla ya wachezaji watatu tayari usajili wao umekamilika na kilichobaki ni kuwatambulisha. Timu hiyo imeshuhudia ubingwa ukienda Yanga iliyokamilisha msimu ikiwa namba moja na pointi 78. Yanga ipo kwenye mchakato . Wachezaji wanaotajwa kumalizana na Simba hadi hivi sasa kwa kuwapa mikataba ya miaka miwili ni…

HAWA HAPA WANAOTAKIWA MKUTANO MKUU YANGA
IKIWA imekamilisha msimu wa 2022/23 na mataji mkononi kesho Juni 24 Wanachama wa Yanga wanatarajiwa kufanya mkutano mkuu. Yanga imetwaa mataji yote iliyokuwa inapambania kwenye ardhi ya Bongo ikiwa ni pamoja na Ngao ya Jamii, ligi na Kombe la Azam Sports Federation. Kwenye anga la kimataifa Yanga katika Kombe la Shirikisho Afrika imegotea nafasi ya…

LEGEND MKUDE, NYONI THANK YOU HAZIWATOSHI
LEGEND Jonas Mkude anaingia katika orodha ya Thank You huku akinyimwa maua yake. Amevuja jasho kuipambania nembo ya Simba akiwa ni miongoni mwa nyota waliocheza mechi nyingi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga hili sio jambo dogo ujue. Kupata nafasi kikosi cha kwanza mbele ya watani wa jadi Yanga katika kikosi cha Simba inaonyesha…

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa

THANK YOU KAKOLANYA
BENI Kakolanya kipa wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota ambao watakuwa kwenye changamoto mpya msimu ujao. Kipa huyo aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Yanga ilichokuwa kinanolewa na Mwinyi Zahera. Ndani ya Yanga Kakolanya alifanya kazi kubwa ikiwa ni kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi alipookoa hatari zaidi ya 7 na kuliweka lango salama….

CR 7 KAANDIKA REKODI NYINGINE
MWAMBA huyu hapa Cristiano Ronaldo anaingia kwenye rekodi nyingine ya dunia. Kitabu cha rekodi cha dunia maarufu kama Guinness kimeandika jina lake akiwa ni nyota wa kwanza kucheza mechi 200 akiwa na timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hiyo mpya aliiandika juzi wakati Ureno ikicheza dhidi ya Iceland katika kufuzu michuano ya EUERO na Ureno…

BEKI JOASH ONYANGO APEWE ULINZI
MZUNGUKO wa dunia unavyozidi kwenda na matukio yanaongezeka na kwenye ulimwengu wa mpira kila wakati kumekuwa kuna mabadiliko ambayo yanatokea. Ndani ya kikosi cha Simba kuna beki wa kazi Joash Onyango ambaye amekuwa akionekana kwenye uvurugaji mara nyingi jambo linalowavuruga mashabiki pamoja na viongozi kwamba asepe ama abaki. Licha ya yote hayo beki huyo anahitaji…