Jurgen Klopp afichua sababu za kukataa kuifundisha Manchester United
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefichua sababu zilizomfanya kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United kabla ya kuchukua mikoba ya Liverpool mwaka 2015. Akizungumza katika mahojiano maalum, Klopp alisema hakuvutiwa na mpangilio na maono ya muda mrefu ya United wakati huo, akieleza kuwa hakuhisi uwepo wa dira thabiti ya maendeleo ndani ya…