
LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUANZA LEO KUTIMUA VUMBI,SHINDA MAPENE NA MERIDIANBET
Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo kwenye kiwango bora sana kwa misimu miwili wakiwa wamecheza mpaka fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupoteza dhidi ya USM Alger. Jeshi la jangwani kutoka Tanzania litaingia uwanja wa vita kuvaana na…