
BOSI SIMBA AMEFUNGUKA MWENDO WA TIMU NA UGUMU ULIOPO
MENEJA wa idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa mwendo ambao wanakwenda nao kwenye mechi za kimataifa haujawa mzuri jambo linalowaongezea ugumu kupata matokeo kwenye mechi zijazo. Timu hiyo Novemba 25 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Hatua ya Makundi….