
WIKIENDI YA MOTO NA MERIDIANBET TIMIZA NDOTO YAKO
Leo hii maliza wikendi yako ukiwa na jamvi la uhakika ndani ya wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Timu za ushindi zipo tayari kukupatia matokeo. Weka dau lako na ujihakikishie ushindi sasa. Kule Italia, SERIE A itaendelea kuvurumishwa vilivyo ambapo Inter Milan vinara wa ligi watamkaribisha AS Roma ambao wamechwa pointi 14 hadi sasa. Inzaghi anahitaji…