Home Sports HII HAPA RATIBA YA LIGI LEO NA MATOKEO Sports HII HAPA RATIBA YA LIGI LEO NA MATOKEO August 17, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp LEO Agosti 17,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Coastal Union v KMC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha. Simba v Geita Gold, Uwanja wa Mkapa. Azam FC v Kagera Sugar,Uwanja wa Azam Complex. Jana Agosti 16 zilichezwa mechi kwenye viwanja tofauti na matokeo yalikuwa namna hii:- Polisi Tanzania 1-2 Yanga, Uwanja wa Sheik Amri Abeid Singida Big Stars 1-0 Tanzania Prisons,Uwanja wa CCM Liti.