Bernard Morrison ameuomba Uongozi wa Simba SC umpe Barua ya kumuachia ‘Release Letter’ ili aweze kucheza michuano ya CAF na klabu nyingine msimu ujao
Lakini Simba wamemjibu kwa kuwa bado mkataba wake haujamalizika, Utaratibu ni Klabu inayomtaka ndio itume maombi, sio yeye.