Hii hapa orodha ya wafungaji ndani ya NBC Premier League 2026/27.Kinara ni mzawa anayekipiga Polisi Tanzania, Anuary Jabir akiwa amefunga jumla ya mabao 7.Peter Shalulile nafuata akiwa na mabao 6.
Anuary Jabir Polisi Tanzania mechi 11, dakika 899, penati 4, Mabao 7.
Peter Shalulile Yanga SC mechi 9, dakika 670, Penati 0, mabao 6.
Herbert Lukindo Namungo FC mechi 8, dakika 479, penati 1 mabao 5.
Obrey Chirwa Geita Gold mechi 9, dakika 702, penati 2, mabao 5.
Clatous Chama Simba SC mechi 9, dakika 661, Penati 0,mabao 4.
Elie Mpanzu Simba SC mechi 10, dakika 708, penati 0, mabao 4.
Anicet Oura Simba SC mechi 10, dakika 809, penati 0,mabao 4.
Ani Elijah TRA United mechi 9, dakika 567, penati 1, mabao 4.
Abdul Sopu Azam FC mechi 7, dakika 384, penati 3, mabao 4.
Oscar Mwajanga Mbeya City, mechi 7, dakika 338, Penati 0, mabao 3.
Takwimu kwa mujibu wa Sokametrics:-
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.
Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.
Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.
Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar
Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4