Yanga Yafanya Uamuzi, Fadlu Davids Apewa Mikoba ya Mngqithi!
Klabu ya Yanga usiku wa kuamkia leo Novemba 7, 2026 imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Fadlu Davids, kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Manqoba Mngqithi ambaye ameachana na klabu hiyo kufuatia mwenendo usioridhisha wa matokeo. Davids mwenye umri wa miaka 45 anarejea nchini Tanzania baada ya kuondoka katika klabu…