Orodha ya wafungaji NBC Premier League 2026/27
Hii hapa orodha ya wafungaji ndani ya NBC Premier League 2026/27.Kinara ni mzawa anayekipiga Polisi Tanzania, Anuary Jabir akiwa amefunga jumla ya mabao 7.Peter Shalulile nafuata akiwa na mabao 6. Anuary Jabir Polisi Tanzania mechi 11, dakika 899, penati 4, Mabao 7. Peter Shalulile Yanga SC mechi 9, dakika 670, Penati 0, mabao 6. Herbert…