Mechi Kali Ulaya: Bilbao, Atletico, Tottenham Na Inter Kwenye Vita Ya Pointi

Kama kawaida ni siku nyingine ya kuibuka mbabe kwani siku si nyingi Meridianbet imnetangaza mshindi wa zaidi ya Milioni 20. Unangoja nini sasa kusuka jamvi lako la ushindi?

Leo hii tunaanza na ligi kuu ya Hispania LALIGA ambapo  Athletic Bilbao atamualika Atletico Madrid chini ya kocha mkuu Diego Simeone ambao msimu huu wameanza kwa kasi ya ajabu, kasi ya kushinda taji la ligi kuu.

Lakini je unajua kuwa una nafasi ya kuibuka bingwa ndani ya Meridianbet ukibashiri mechi hii?. Bilbao ikiwa nyumbani inahitaji kupata matokeo ya pointi 3, mbele ya mashabiki zao baada ya kuondoka na ushindi kwenye mechi yake iliyopita.

Mpaka sasa kwenye mechi 3 ambazo amecheza ameshinda mechi moja pekee, hivyo ushindi huu utakuwa na maana sana kwa upande wao kwani wachezaji waoa wazuri na dirisha kubwa wamelitendea haki.

Huku kwa Diego Simeone ni kama wamezaliwa upya kwani mpaka sasa hawajapoteza mechi yoyote kati ya hizo tatu ambazo wamecheza wakikusanya pointi 7 hadi sasa baada ya kutoa sare mechi moja.

Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, Atletico waliondoka na ushindi hivyo Bilbao wanataka kulipa kisasi wakiwa nyumbani kwao. Je wataweza?. Jisajili hapa.

Piga pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Na katika dimba la City Ground kutakuwa na mechi ya kukata na shoka kabisa kati ya Nottingham Forest dhidi ya Tottenham Spurs ambao wameanza msimu vibaya baada ya kupigika kwenye mechi zao mbili mpaka sasa.

Forest mpaka sasa wameonyesha dalili za kuwa timu ngumu kupambana nayo baada ya kutoa sare dhidi ya Liverpool, matokeo ambayo yaliyowaongezea morali baada ya kuonyesha uwezo wa kushambulia na kutumia vizuri nafasi zao.

Kikosi hicho kinaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza kwa kasi, hasa kinapopata nafasi ya kushambulia kupitia mipira ya kushtukiza. Pale kwa wakali wa ubashiri Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.

Huku kwa upande wa Tottenham, hali ni tofauti. Spurs wameanza msimu wakiwa chini ya presha baada ya kupoteza michezo yao ya awali na kushindwa kufunga bao. Hilo limeweka jukumu kubwa kwa kocha Roberto De Zerbi kutafuta suluhisho katika safu ya ushambuliaji. Nani kuondoka na ushindi leo?. Suka jamvi hapa.

Italia SERIE A napo patawaka haswa ambapo vijana wa Chivu Inter Milan watawaalika vijana wa Allegri Napoli kupambania pointi 3 kwenye dimba la San Siro mchezo ambao utakuwa ukitazamwa na watu wengi lakini wenye pesa ndefu pale Meridianbet.

Ikumbukwe kuwa Inter ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo, huku wakiwa wameanza ligi vyema kabisa  baada ya kushinda mechi zake mbili huku wakiwa na kikosi kizuri kabisa cha kupata ushindi mnono.

Napoli wao wakiwa na kocha mpya wametoka kupoteza mechi iliyopita wakiwa nyumbani kwao hivyo wanatazamia kushinda mtanange huu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri za juu na hawataki kupoteza mechi ya pili mfululizo kwani uwezo wa kupambania timu wanao.

Timu zote zina wachezaji wakubwa na wazoefu kama pale Inter kuna Lautaro, Barella, Calhanoglu, Dimarco na wengine wengi, huku kwa Napoli wao wana De Bruyne, Hojlund, Anguissa, McTominay na wengine ambao kwa pamoja wanapamania timu kupata ushindi. Beti sasa hapa.

Msimu uliopita walipokutana kwenye ligi mechi zote mbili, Napoli waliondoka na pointi 4 kwa maan awlaishinda mechi ya kwanza wakiwa nyumbani, huku mechi ya pili wakitoa sare. Jisajili hapa kumpata mshindi.